ExploreTrendingAnalytics
Nostr Archives
ExploreTrendingAnalytics

POWA255

15adf3…8d89fd
6Followers0Following5Notes3Received

POWA 255 ni mpango wa elimu ya Bitcoin kwa njia ya mtu kwa mtu (peer-to-peer) unaolenga kusambaza maarifa ya Bitcoin kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

5 total
POWA2551d ago
JNHPP⚡️ 📝 e2a51a92…
0000 sats
POWA2551d ago
POW⚡️🇹🇿 📝 324a3f44…
0000 sats
POWA25521d ago
Trezor Academy Session 2/3 Recap ⚡ Tarehe 21/02/2026, @Bitcoin Arusha Bikwa kushirikiana na #powa255 tuliendesha kwa mafanikio Session ya 2/3 ya #TrezorAcademy. Katika session hii tuliangazia kwa undani: 🔐 Maana na matumizi ya custodial wallets 📤📥 Jinsi ya kutuma na kupokea Bitcoin 🛒 Matumizi ya Bitcoin katika maisha ya kila siku 💳 Namna ya kununua Bitcoin kupitia #Chapsmart Washiriki walipata uelewa mpana zaidi kuhusu uhifadhi na matumizi sahihi ya Bitcoin kwa vitendo. Usikose Session ya Mwisho (3/3) itakayofanyika tarehe 28/02/2026 pale pale Bitcoin Arusha Hub. Karibu ujifunze, ukue na ujijengee uhuru wa kifedha kupitia Bitcoin 🚀 #BitcoinArusha #TrezorAcademy #BitcoinEducation #Powa255 @Man Like Kweks @SatsTagga⚡
#powa255#TrezorAcademy#Chapsmart
2020 sats
POWA25557d ago
Jumamosi tarehe 17/01 tulifanya Banda letu la kwanza la P2P katika Hub ya @Bitcoin Arusha 🇹🇿⚽️ Tuliuangalia derbi ya Man United dhidi ya Man City huku tukiwatambulisha @vexl 😎 katika jamii yetu na kuelezea kwa nini #Bitcoin ya #peer-to-peer ina umuhimu mkubwa. Tutapanga matukio zaidi ya kijamii ili kuimarisha mitandao ya P2P na kuukuza uchumi wa mzunguko wa #Bitcoin hapa kwetu. 📝 0687c0f9…
#Bitcoin#peer#Bitcoin
0010 sats
POWA25569d ago
@Man Like Kweks akiwa ndani ya @Bitcoin Arusha Hub hapa WSHA Co-working space Akiwa amevalia T-shirt yetu Spesho ya #BitcoinNiHela🧡 Hi ni zaidi ya style ni ujumbe wa mabadiriko ya kifedha! Karibu utumbelee hub yetu ujifunze kuhusu #Bitcoin, uhuru wa kifedha na mengi zaidi 📍Mega Complex floor ya Saba (WSHA CO-working space). #bitcoinniHela #BitcoinArusha⚡️🧡 #POWA255⚡️
#BitcoinNiHela#Bitcoin#bitcoinniHela
2003 sats

Network

Following

Followers

Bitcoin ZambiaBitcoin Famba2140Art+2140Music
Samuel Kullmann
Man Like Kweks
Shigeru Minami⚡️🇯🇵